@daudswahil
1. Habari! (Hello!)2. Jina langu ni ……….. – (My Name is ……..)3. Ninafuraha kukutana na wewe – (Nice to meet you)4. Ninatokea……. - (I am from [Your Country……..)5. Nina umri wa miaka ………… (I am ……… years old.)6. Ninasoma/Naenda shule. - (I am studying/I go to school.)7. Ninapenda …….. - (I like………. [Your Interests].)8. Asante! - (Thank you!)
You've seen all moments
Start sharing your language learning journey and connect with partners worldwide.